Ili ufanikiwe katika maisha,ni mhimu ukizingatia haya mambo rahisi
1-jua nini unafanya
2-kipende unachokifanya na ukitetee pasipo kukata
tamaa hata pale watu wanapojaribu kukuvunja moyo
na mwisho kiamni unachokifanya kuwa hicho
ndiyo kitakufanikisha katika maisha..
0 comments:
Post a Comment