Week hii story kubwa ni kuhusu taarifa ya kuhusu jengo panamofanyikia mashindano ya BBA kuripotiwa kuungua,na wahuika kutangaza kuwa mashindano hayo hayataanza jumapili kama ilivyotalajiwa..japo mda mwingine ishu kama hizi huundwa kama nia ya kutafuta kick na swali la kujiuliza hapa kama ni kweli,mbona jengo linalodaiwa ndio jengo la BBA mbna halina hadhi hiyo? na mbna picha ni zile zile tuu inamana hakua picha za matukio zaidi,lakini la mwisho..Diamond ni mmoja wa wasanii walotalajiwa kutumbuiza kwenye ufunguzi hapo jumapili,lakini wamepost picha,wakienda na wakiwa South Afrika je wameenda kufanya nini??? wacha tuone |
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment