Siku ya leo mwanamuziki nguli wa Bongo fleva , Diamond Platnumz yupo nchini Africa Kusini akishoot kipindi na Televisheni ya MTVBase ya nchini humo. Bado haikuweza kujulikana kipindi hicho kinahusu nini lakini itaelekea kitakua si tu kuhusu Diamond bali Tanzania kwa ujumla baada ya Diamond kuanza kurekodia kipindi hicho kwenye balozi za Tanzania nchini Africa kusini…
lkupitia insta ameandika
kwakuwa siku ya leo nzima nitakuwa nazunguka na wakinishoot... nimeona ni bora nianzie kwenye ubalozi wetu waTanzania hapa Mjini Pretoria/ south Africa... ili walau wapate kujua machache yahusiayo naTanzania...
0 comments:
Post a Comment