Imeripotiwa kuwa msanii Diamond na dancers
wakealiripoti polisi leo kwa ajili ya
kuhojiwa kwa
tuhuma za kuvaa nguo za jeshi la Wananchi siku
ya fiesta, ambapo baada ya kuhojiwa msanii huyo ameachiwa kwa dhamana
pia
jioni hii.
Hizi ni picha zikimuonesha msanii Diamond akitoka kuhojiwa na jeshi la polisi.
.
0 comments:
Post a Comment