Jarida la Paper limezungumziwa zaidi wiki hii kwenye blogs na mitandao ya kijamii baada ya kuingia gharama ya kupata cover lenye picha ya utupu ya Kim Kardashian.
Picha hizi zimeibua maneno mengi kuhusu Kim na
Kanye West
wanavyoishi,Kazi ya Kim K na imekuaje Kanye amruhusu mke wake kufanya hivi.Kim alitumia twitter kutoa huu ujumbe.
Kim K "Wanasema sina kipaji, jaribu kuweka glasi isimame kwenye makalio yako"
Hii ndio picha anayozungumzia Kim
0 comments:
Post a Comment