.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
 
 Alhamis ya jana (November 14) mwanaume mrefu kuliko wote duniani na mfupi kuliko wote walikutana katika tukio lililofanyika London ambapo walipiga picha ya pamoja wakipeana mikono.
 
Tukio hilo lilikuwa ni lakumi la mwaka la rekodi za Guinness kusherehekea rekodi zilizowekwa na dunia. Guiness waliwasafirisha wanaume hao ambao ni Sultan Kosen kutoka uturuki (Mrefu) na Chandra Bahadur Dangi  (mfupi) kutoka Nepal kwaajili ya picha ya kipekee.


Kosen (31) ni mkulima wa msimu mwenye urefu wa feet 8na nchi 3, ana uwezo wa kushika kikapu cha goli la bascket bila kuruka, alishika rekodi hiyo mwaka 2009 baada ya kumpita urefu Xi Shun wa China mwenye feet 7 na nchi 9
Dangi (74) yeye ana urefu wa nchi 21½ na ni mwanaume mfupi aliwahi ku-rekodiwa na Guiness na ana uzito wa Pound 32

0 comments:

Post a Comment