.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Good news kwa Tanzania… Yes, hii ni kwenye burudani kwa mara nyingine tena, Bongo Fleva ni muziki ambao umefika mbali kutokana na juhudi za watu wengi walioamua kuweka ngumu nyingi kuhakikisha huu muziki unafika kwenye headlines za Kimataifa.
Mtu wako wa nguvu ni mmoja ya walioshuhudia utoaji wa Tuzo za AFRIMMA 2015 ndani ya Dallas, Texas Marekani… Mastaa toka Bongo nao wameng’ara zaidi safari hii, yuko Ommy Dimpoz na Tuzo moja,Vee Money na Tuzo moja pamoja naDiamond Platnumz na Tuzo tatu.
List ya Washindi wote hii hapa mtu wangu, hongera nyingi kwa watu wa nguvu walioshinda AFRIMMA 2015.
Best Male (South Africa) – AKA (South Africa)
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz (Tanzania)
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido (Nigeria)
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee aka Vee Money (Tanzania)
Best Female (West Africa) – Yemi Alade (Nigeria)
AFRIMMA Inspirational Song – ‘Alive’>> Bracket Feat. Tiwa Savage & Diamond Platnumz
Best DJ (Marekani) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz (Tanzania)
Best Collaboration – All Eyes on Me >> AKA feat. Da Les & Burna Boy
Best Dance Video – ‘Nana’>> Diamond Platnumz
Best Video – Ojuelegba >> Wizkid (Nigeria)
Artist of the Year – Diamond Platnumz (Tanzania)
Legendary Award – Yossou N’Dour (Senegal)
Transformation Awards AFRIMMA- Rais wa Botswana, Ian Khama
Best Video Director- Godfather (South Africa)
Posted by babally.bligspot.com |
Posted by kifesi |
Hizi picha za mastaa waliohudhuria pambano kubwa la Floyd Mayweather Vs  Manny Pacquiao. Floyd Mayweather alitangazwa mshindi kwa points kwenye pambano hili la round 12. Wasanii nan waigizaji walionekana kwa wingi.
28424DAC00000578-3065819-image-a-65_1430626529908
Beyonce na Jay Z
2842173600000578-3065819-image-a-52_1430623992762
Mwigizaji Ben Affleck
2841F07500000578-3065819-image-a-81_1430621860887
Mwigizaji Denzel Washington
2842102100000578-3065819-image-a-37_1430623302678
Mcheza tennis wazamani Andre Agassi
2842099C00000578-3065819-image-a-24_1430623127198
Paris Hilton
284212FC00000578-3065819-image-a-49_1430623668372
Rapa Nicki Minaj
28421B3600000578-3065819-image-a-55_1430624053709
Mike Tyson
_82735298_deniro_getty 2841D68D00000578-3065819-image-a-60_1430618877627 2841F06000000578-3065819-image-a-80_1430621857709 2841F87000000578-3065819-image-a-74_1430621804218 28420AC100000578-3065819-image-a-27_1430623146983 28420FC100000578-3065819-image-a-36_1430623281240 2842009700000578-3065819-image-a-87_1430622178446 CEDAU1JUgAAokBC
Posted by kifesi |
linah picha
Posted by kifesi |
Siku chache baada ya mke wa mjukuu wa Malkia Elizabeth , Kate Middleton kujifungua mtoto wake wa pili ambaye ni mtoto wa kike , hatimaye mtoto huyo amepewa jina baada ya siku kadhaa za watu nchini Uingereza kuwa katika hali ya kusubiri kwa hamu ili kuweza kufahamu jina la binti huyo .
Familia hiyo change imempa jina la Charlotte Elizabeth Diana ikiwa ni kuwaenzi bibi , bibi mkuu na babu mkuu wa mtoto huyo ambao walikuwa na majina aliyopewa .
Familia iliamua kuwa katika majina matatu ya mtoto huyo liwepo jina la mama yake Prince William ambaye ni Hayati Princess Diana ambaye ni bibi wa mtoto huyo , Bibi yake Prince William kwa upande wa baba yake ambaye ni Malkia Elizabeth na babu wa mtoto huyo mchanga ambaye ni Prince Charles ambaye ni baba mzazi wa Prince William kupitia jina la Charlotte ambalo ni jina la kike la Charles.
princess charlotte
Mtoto mpya wa Prince William na Mkewe Princess Kate Middleton ambaye amepewa jina la Princess Charlotte Elizabeth Diana.

Jina rasmi la mtoto huyo ambaye alizaliwa siku tatu zilizopita litakuwa’Her Royal Highness Princess Charlotte Elizabeth Diana Of Cambridge’.
Taarifa toka ndani ya familia ya kifalme Uingereza zinasema kuwa Prince William na Mkewe Princess Kate Middleton tayari walikuwa wameandaa jina hilo saa chache baada ya kuzaliwa kwake na walingoja wakati muafaka kutoa taarifa kwa ndugu wengine wa familia .
Mtoto huyo alikutana na Malkia Elizabeth kwa mara ya kwanza hii leo wakati familia yake ilipokwenda kusalimiana na Malkia huyo nyumbani kwake kwenye Kasri la Buckingham.
Princess Charlotte Elizabeth Diana anakuwa mtoto wa pili wa familia ya Prince William baada ya George Alexander ambaye alizaliwa miezi 21 iliyopita .

Prince Charles ambaye ni baba mzazi wa Prince William.
Prince Charles ambaye ni baba mzazi wa Prince William.

Hayati Princess Diana ambaye ni mama mzazi wa Prince William.
Hayati Princess Diana ambaye ni mama mzazi wa Prince William.

Bibi Mkuu wa Charlotte Elizabeth Diana ambaye jina lake la Elizabeth litunukiwa kwa mtoto mpya kama heshima kwake .
Bibi Mkuu wa Charlotte Elizabeth Diana ambaye jina lake la Elizabeth litunukiwa kwa mtoto mpya kama heshima kwake .
crdt:millardayo
Posted by kifesi |
Welcome to the world, little princess!
On Saturday evening, Prince William and Kate Middleton presented the newest addition to their family: The Princess of Cambridge.
The Duchess of Cambridge arrived at the hospital in labor at 6 a.m. local time and gave birth at 8:34 a.m. to a baby girl weighing 8 lbs, 3 oz.
By 6:11 p.m. local time, the proud parents exited the Lindo Wing of St. Mary's hospital with their new tiny bundle of joy.
This being Kate Middleton, after all, you better believe her hair was on point and she looked just as flawless as ever.
The duchess wore a custom Jenny Packham yellow and white dress. Her daughter was wrapped in a white crochet blanket.
0780A07C00000514-3044227-Growing_family_Prince_William_was_with_33_year_old_Kate_througho-a-184_1429307197569
Catherine, Duchess of Cambridge, holds her newly-born daughter
Posted by kifesi |
Chris Brown and Rihanna attending an NBA  game in Los Angeles
Wapenzi walioweka rekodi ya kuachana na kurudiana mara nyingi zaidi Chris Brown na Rihanna wameanza kuonekana pamoja sehemu tofauti za starehe.
Wawili hawa wameonekana kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rapa Travi$ Scott ya miaka 23 pamoja na mastaa wengine kama Kanye West na Die Antwoord.
Travis-Scotts-Rodeo-Birthday-Party-with-Chris-Brown-and-Rihanna-Playing-with-Snake
Posted by kifesi |


DSC_2862
Ninazo pichaz nyingi sana mtu wangu, watu walipendeza sana.. nakusogezea kwanza hizi zaidi ya 35 za kwanza !! Kuanzia Red Carpet na kuendelea..
IMG_4412
IMG_4432
DSC_2512
Burudani ya Makomando stage Red Carpet.
IMG_4344
Nje palikuwa hivi, watu wanasogea mdogomdogo Mlimani City, DAR.
IMG_4356
Msami kwenye Red Carpet.
DSC_2824
Queen Darleen na watu wake
IMG_4407
Fans wengine walikuwa na bango kabisa !!
IMG_4419
TID na Lamar kwenye Interview Red Carpet
DSC_2765
.
IMG_4299
.
IMG_4300
.
IMG_4301
.
IMG_4304
Khamis Dakota
IMG_4306
.
IMG_4307
.
IMG_4339
Watu wa nguvu kwenye picha za kumbukumbu.
IMG_4313
.
IMG_4325
.
IMG_4347
Camera zote zikaangalia Red Carpet.
IMG_4373
Barakah Da Prince
IMG_4361
.
IMG_4433
Msanii Ditto kwenye Interview
IMG_4440
Producer Sheddy Clever, mikono yake imeandaa hits nyingi za Diamond Platnumz
IMG_4448
Ruby
IMG_4454
.
IMG_4484
.
IMG_4487
Keisha, mkali mwingine Bongoflevani
DSC_3307
Boss wa Clouds, Ruge Mutahaba wako na Eric Omondi, comedian toka Kenya.
WCB II
.
WCB III
.
DSC_2777
Diamond Platnumz anashuka kwenye Limo.. kaongozana na Madam Rita, baunsa wake Mwarabu na Meneja wake, Salam.
DSC_2788
Hapo yuko Mkubwa Fella, SalamZariDiamond PlatnumzNay wa Mitego,Mwarabu pamoja na rapper AKA.
DSC_2803
Camera zilikuwa nao hatua kwa hatua.
DSC_2837
.
DSC_2821
.
DSC_2859
.
DSC_2862
.
DSC_2592
.
DSC_2869
.
DSC_3131
.
DSC_2713

IMG-20150502-WA0032

IMG-20150502-WA0013