Rapa
Kanye West
amechorwa tattoo mpya kwenye mikono yake miwili, Tattoo hizo amechorwa Ijumaa Feb. 27 akiwa mjini London na mke wake
Kim Kardashian
. Kanye amechorwa siku za kuzaliwa za marehemu mama yake Donda na mtoto wake North West.
Tattoo zimechorwa kuwa lugha ya kirumi , tunaona tarehe June 15, 2013 birthday ya North na July 12, 1949 birthday ya marehemu mama yake Donda aliyefariki mwka 2007.
0 comments:
Post a Comment