Ludacris na mke wake Eudoxie Mbouguiengue wametangaza rasmi kuwa wanategemea mtoto baada ya miezi miwili kwenye ndoa. Picha walioshare na mashabiki inamuonyesha Luda akibusu tumbo la mke wake Eudoxie huku ujumbe ukisema“Beautiful day on the beach,’Beautiful day indeed “
0 comments:
Post a Comment