Michael jackson ni msanii ambae ametutoka
muda sasa lakini habari zake bado zipo kwenye NEWS
za mashirika mbali mbali ya kimataifa. Michael jackson
ambae inadaiwa alifariki muda mrefu sana ulipita baada ya
POLICE na wana Sayansi kugundua mifupa ya binadamu katika
nyumba yake “Never Land” na vile vile kama tunakumbuka
Daktari aliekua akimtibu alishukiwa kuwa alisababish
a kifo chake kwa njia moja au nyingine, Documentaries ambazo zimetoka na
kuelezea maisha ya shida na matatizo ambayo Michael Jackson
alipitia katika uhai wake.
Miaka 5 iliyopita baada
ya kifo chake, Recording Label iliyokua ikimsimamia
kazi za msanii huyo imetangaza tarehe ya kutoa
album mpya ya King Of POP MICHAEL JACKSON,
Album hiyo ambayo imesheni nyimbo
zisizopungua 8 ambayo inajulikana kwa jina “XSCAPE”
. Album hiyo itaachiwa mnamo tarehe 13 ya mwezi
MEI mwaka huu, ambapo kwa tamko
la CEO wa Epic L.A. wasimamiaji wa kazi za msanii huyo
alisema kuwa wamechagua nyimbo nane zilizokua hazijawahi kusikikika popote pale duniani na ndio zitatengeza album hiyo ambayo inasadikika kuwa itakuwa ya hatari sana.
0 comments:
Post a Comment