Kwa mujibu wa coments wa watu kwenye sociasl
networks,Inaonekana wengi hawakupenda ushindi wa
Wema kwenye shindano la IJUMAA SEXIEST GIRL
Kwenye mashindano hayo alikuwa na warembo wenzake
Jokate,Lulu,Nelly Kamwelu,Jackline Wolper
hatimaye alifanikiwa kushinda tuzo hiyo.
Wema ametumia ukurasa
wake wa instagram kutoa yaliyo moyoni mwake na ameandika,
“If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…
. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona
sasa its too much khaaaaaaaa.!
Ebu mnitue mie mtoto wa watu…
And again much love to y’all dat support me…
nawapenda sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo
hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri mwingine.
Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda
ni wachache wenye vijiba vyao vya roho….
Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas.”
0 comments:
Post a Comment