STAA wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu ameibuka kidedea
kwenye shindano la Ijumaa Sexiest Girl kwa kura 370
huku mshindi wa pili Elizabeth
Michael'Lulu' akipata kura 340 akifuatiwa na
Nelly Kamwelu. Shindano hilo lilifanyika katika
viwanja Dar Live ,Mbagala usiku wa kuamkia
leo na limeandaliwa na Global Publishers huku
burudani ikisindizwa kutoka kwa
Weusi(Nikki wa Pili,Joh Makini,G Nako) na Mkubwa na Wanae.
0 comments:
Post a Comment