Trailer ya filamu ya The Fault in Our Stars
ambayo imebeba simulizi la mapenzi ya vijana
wadogo waliokutana katika kituo cha kusaidia watu
wenye saratani, ndiyo trailer ya filamu iliyoangaliwa
Filamu hiyo iliyowekwa kwenye YouTube January 29
na imeangaliwa zaidi ya mara 17,437,646.
Ime-base
katika simulizi la novel ya mapenzi iliyoandikwa na John Green ambayo inaelezea mikasa
mizito na furaha ya kuwa hai na kuwa katika uhusiano
wa mapenzi.
Filamu ya ‘The Fault In Our Stars
’ inatarajiwa kuingia sokoni rasmi mwezi June 6 mwaka
huu na tayari imeonesha dalili za kufanya vizuri sana
mara tu itakapoachiwa.
Wahusika wakuu kwenye filamu
hiyo ni Hazel (Shailene Woodley) na Gus (Ansel Elgort).
0 comments:
Post a Comment