DiamondPlatnumz kupitia acc yake inst amepost
"Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko
store hazija toka nimeikuta
mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani
haina quality kabisaa... Tafadhari, kwa yoyote
atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara,
kwasababu Haijatoka na haiko Qualified..
0 comments:
Post a Comment