Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu
wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii
wengi wa kimataifa
.Mtonyo mpya anaochota Diamond katika
show umetokea kuwapa shida waandaaji wa show,
Imeripotiwa wandaaji wengi wa nchi za nje wa matamasha,
wadai kuwa, ingawa Davido ni msanii mkubwa sana
kulingana na Diamond, ila mahitaji ya
Diamond hadi kumpandisha kupiga show moja ni ya kutisha
unaweza sema ni kama unamleta Jay-z.
Unaambiwa Davido yeye huwa
unamwachia anachiwA
hotel aliyolala yeye na crew yake,Mtwara
mtonyo wa shilingi 85 tu,ila kaa utulie usikilize
mahitaji haya ya Diamond: Kwanza bila kumtonyesha
kuanzia milioni 45 kwenda juu, utaishia
kuongea naye kwenye simu tu, bila hata ya kuona sura yake,
AKIWA KWENYE PRIVATE JET NA CREW
YAKE KUELEKEA MWANZA
achana na hiyo basi kwanza kama umeshatenga hilo fungu na
kufanikisha kumuita kupiga ku-sign contract yake, inabidi
umsafirishe kwa private jet au first class plane, akishatua
uwe umeshandaa presidential suit katika hoteli yeyote yenye
hadhi ya nyota tano, kama ni Bongo ni Serena hotel pale
kiroho safi, wakati huohuo uwe umashatenga vyumba
maalumu vikubwa kwa ajili ya Dancers wake ,camera man,dj na mlinzi,
microphone ya pekee na vyakula atavyohitaji yeye,
viwe teyari umeshaweka order vitengenezwe, kama
anavyotaka yeye. Kama ulikuwa
unamchukulia Dangote easy, jipange!.
0 comments:
Post a Comment