Kwetu fashion inazidi kutanuka na kujizolea umaarufu kila siku,umaaru ambao haujaja kirahisi bali kwa kazi nzuri ,na ubunifu mzuri wa mavazi yanayomfanya mtu ajiskie ufahari wa nyumbani yani Afrika..kwa ubora huo ndio maana imekua ikipata nafasi ya kuvisha watu mbali mbali wakubwa na wadogo pia kwenye matamasha mbalimbali..hizi ni baadhi ya picha za warembo waliovishwa na kwetu fashion wakati wa shughuli ya TANO LADIES
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment