SALAMA JABIRI, HOST wakipindi cha MKASI alijikuta ana changanya mambo baada ya mumuita PENNY kwa jina la WEMA....pindi wanarekodi kipindi ambapo PENNY alikua ndio mgeni...Hehehehe Siunajua PENNY na WEMA waliwahi kushea Mapenzi ya D..Patamu hapo!!! sasa PENNY alijibu nini baada ya kuitwa WEMA? Salama je ali RIAKTI vipi baada ya kuchanganya mambo.
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment