Kama umeshawahi kuona video ya wimbo wa Joh Legend "All of me" utakumbuka kuwa ama ndo nakufahamisha kama ulikuwa hukujui kuwa amemshirikisha mke wake.
Huwezi amini, ngoma mpya ya Barnaba ambayo inazungumzia shida, matatizo vurugu kila siku "Wahalade" katika video yake amemuweka mke wake Mama Steve pale kati.
0 comments:
Post a Comment