.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

Kama utakumbuka Rais kikwete alitoa ahadi kwa wasanii wa Tanzania kuwa ataleta wadau wakubwa wa sanaa toka marekani kwa ajili ya ,kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania jinis ya kuendesha sanaa yenye mafanikio,kwa kuanza,wamekuja Mtangazaji wa E,Terrence J,producer David banner na meneje chaka zulu,na jana waliendesha mafunzo kwa mamia ya wanamziki .waigizaji na wadau mbali mbali wa sanaa nchini

0 comments:

Post a Comment