Jarida la Forbes limetoa orodha ya waigizaji wa kiume wanaolipwa zaidi Hollywood. Hawa ndio wanalipwa pesa nyingi zaid kwenye filamu wanazoigiza. Star wa filamu za Iron Man ndiye ameongoza kwa kuchukua dola milioni 75 kwenye filamu zake.
Robert Downey Jr $75 Million
Dwayne Johnson Maarufu Kama The Rock Analipwa $52 Million
Bradley Cooper analipwa $46 Million
Leonardo DiCaprio $39 Million
Chris Hemsworth $37 Million
Liam Neeson $36 Million
Ben Affleck $35 Million
Christian Bale $35 Million
Will Smith $32 Million
Mark Wahlberg $32 Million
0 comments:
Post a Comment