Ukizingatia taarifa kuhusu ndoa ya Jay Z na Beyonce kuvunjika baada
tu ya ziara yao ya On The Run kukamilika, wasimamizi wa wasanii hawa
wanafanya kila jitiada kuweka pamoja mashabiki zao kwa kusambaza picha
na maneno mazuri kuhusu wapenzi hawa. Hizi picha tatu mpaka sasa
zimeonekana kupendwa zaidi na mashabiki.
Hii ndio couple ya mastaa inayoaminika kudumu kwa sasa ukiacha ya Will Smith na Jada Smith.
Hii ndio couple ya mastaa inayoaminika kudumu kwa sasa ukiacha ya Will Smith na Jada Smith.
0 comments:
Post a Comment