Aliyekuwa mwakilishi wa kutoka Kenya ndani ya
jumba la Big Brother nchini Afrika Kusini,
Sabina ametolewa katika jumba hilo.
Taarifa zilizowekwa katika ukurasa wa mtandao wa Standard
Digital ya nchini Kenya zinasema, mwakilishi huyo ambaye
ni mtangazaji wa televisheni amekuwa kivutio
cha watazamaji wengi wa show ya Big Brother.
Sabina ametolewa ndani ya jumba hilo pamoja na wenzake
ambao ni
Lilian aliyekuwa mwakilishi kutoka Nigeria, pamoja na Esther ambaye pia
alikuw
a mwakilishi kutoka nchini Uganda.
0 comments:
Post a Comment