
.
Usiku wa Jan 24 ni siku ambayo waimbaji mbalimbali watanzania walishare jukwaa moja kwenye tamasha la Kiboko yao Concert lililoandaliwa na kampuni ya simu za mkononiTigo.
Miongoni mwa waimbaji waliotumbuiza akiwemo;Diamond Platnumz, Shaa, Vanessa Mdee, Joh Makini, Stamina, Young Dee, Nikki wa pili, Ben pol, Fid Q, Ay, Mwana FA, Khadija Kopa, Linah na wengineo.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tamasha hilo.
Shaa.
.
.
Ben...