Kila ambacho mtoto mdogo anakiona huwa anahisi ni cha kuchezea, atakigusa na kufanya chochote anachojisikia kukifanya kwa wakati huo.
Mtoto wa
Kim Kardashian
Katika mahojiano na kipindi cha On air with Ryan Seacrest, Kim Kardashian amesema alisikia mtu akiflush chooni, alipoenda alikuta mwanaye akiwa amesimama pembeni ya choo huku simu hiyo akiwa tayari ameitumbukiza ndani.
“Not last night, but the night before, I hear North in the bathroom and I hear the toilet flushing and flushing… I run in there and I’m like, ‘Wait a minute babe,’ to Kanye. ‘Didn’t she have your phone a second ago?’ The phone was in the toilet! I put it in a bag of rice, [but] nothing worked“– Kim Kadarshian.
Hiyo ilifanya Kanye West kukosekana hewani kwa muda fulani.
0 comments:
Post a Comment