Kama utakumbuka siku ya Jan 28, 2015 msanii Shilole alikataa kwamba hakuna ukweli wowote kwenye story iliyoenea kwamba alimpiga mpenzi wake Nuh Mziwanda, alisikika wakati wa U Heard kwenye XXL ya Clouds FM.
Leo kwenye ukurasa wa Instagram, Shilole amepost picha na ujumbe wa kuwaomba radhi mashabiki wa muziki kuhusu kitendo alichomfanyia msanii mwenzake ambaye pia ni mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
“Hii ni kwa mashabik wangu wote nawapenda sana pili! Nawaomba radhi kwa kitendo kilichotokea juz binafsi sikupenda but ni hasira tu. Mm pia ni binadamu so kukosea ni kawaida so pili nimuombe na mpenzi wangu kwa nilichofanya! Nawapenda sana haitojitokeza tena one lv sana “@shilolekiuno
0 comments:
Post a Comment