Kwenye mahojiano aliyofanyiwa hivi karibu Rihanna amekanusha kuwa na mahusiano na star wa Titanic Leonardo Dicaprio na kusema ” ratiba yake inambana sana muda huu kuwa kwenye mahusiano yeyote au kuwa na mtu ” Riri aliendelea kusema “usiamini blogs zitaharibu mambo yako ” .
Rihanna anasema mwanaume atakaye weza kuwa naye kwa sasa lazima aelewe ratiba yake na aweze kuishi naye kwenye maisha hayo
0 comments:
Post a Comment