Moja ya ishu zilizojadiliwa Bungeni
katika vikao vilivyofanyika ndani ya wiki hii ni suala la kelele ndani
ya Miji Mikubwa TZ kam vile Dar.. Wabunge wakasema
ikiwezekana kuwepo utaratibu wa kufungia kumbi za sherehe ambazo
zinaongoza kwa kupiga muziki na kusababisha kero ya kelele.
Nimepita mitandaoni nikakuta hii list mtu wangu.. Hapa ni Miji mikubwa mitano inayoongoza kwa kelele Marekani.
No.1: Karibu New York
mtu wa nguvu !! Huu ni moja ya Miji yenye watu wengi zaidi Marekani,
mishemishe ni nyingi pia ikiwemo Utalii. Huu ni namba moja kwa kelele
Marekani.
No.2: Detroit, Michigan.
Unaambiwa isikushtue mji huu kuwa namba mbili kwa kuwa na makelele
mengi kwa Marekani, unatajwa kuwa unaongoza pia kwa matukio ya uhalifu.
Ukiingia hapa mtu wangu kaa macho.
No.3: San Francisco, California.
Utafiti uliofanywa na University of California, Berkeley unaonesha mtu
mmoja kati ya watu sita wako kwenye hatari ya kuugua magonjwa ya moyo
kutokana na kelele za magari.
No.4: Miami, Florida.
Huu ni mji ambao uko kwenye list ya miji ya starehe zaidi Marekani.
Sehemu kubwa ya malalamiko kuhusu kelele inasababishwa na kutua na
kuruka kwa ndege, O’Hare International Airport ilikuwa inapokea ndege
zaidi ya 2,500 kila siku mwaka 2015.
0 comments:
Post a Comment