hii imetokea Arizona nchini Marekani ambapo mtoto wa miaka 9 ndio
kichwa cha habari kwenye mafunzo ya kutumia submachine gun
iliyotengenezwa Israel.
Mtoto
huyu wa kike anaetokea New York alikua kwenye mapumziko na matembezi
kama mtalii kwenye mji wa Arizona ambako pia ndio alichukua time yake ya
ziada kujifunza kutumia bunduki lakini kwa bahati mbaya risasi
ikafyetuka na kumjeruhi mwalimu wake aitwae Charles Vacca mwenye umri wa
miaka 39 ambae alifariki baadae hospitalini.
HII NI CLIP DAKIKA CHACHE KABLA YA MAUA...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Kampuni
ya Vodacom Tanzania imekuja na Fistula Ice Bucket Challenge ‘#BongoIce’
yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya akina mama
wajawazito wenye ugonjwa wa Fistula. Hii ni kufuatia kampeni
inayoendelea mitandaoni ikijulikana kama #ALSIceBucketChallenge
ambapo Vodacom Tanzania kwa kutambua kuwa kuna wanawake wengi Zaidi ya
30,000 wanaogua ugonjwa huu hapa nchini imeanzisha kampeni inayoitwa
#BongoIce.
Mkurugenzi
wa Vodacom, Rene Meza amekuwa wa kwanza kushiriki kampeni hii na
kuwateua Naibu Waziri wa...
Posted by kifesi |
Ilikuwa ni Kwenye summer classic Charity basketball match ya mwaka 2014 ambayo
inaleta pamoja mastaa wa sanaa tofauti kucheza mechi na kuchangisha
pesa, Rihanna alikuwa miongoni mwa mastaa wa muziki waliohdhuria game ya
basket iliyochezwa na Chris Brown.
Vyanzo vya habari vingine vinasema Rihanna hakujua kama Chris Brown
anacheza mechi hio na baada ya kumuona Rihanna aliweka sura tofauti kama
vile hajamuona na hana time naye kitu ambacho...
Posted by kifesi |
Hivi
sasa Justin Bieber anaweza kujiachia kwenye club bila kupigwa picha na
mapaparazi kwa sababu nyumba yake mpya ina night club na bar tatu ndani
yake.
Japokuwa pesa alizolipa Bieber kumiliki nyumba hii haijawekwa wazi,
sifa zake ni kuwa na ukubwa wa square meter 16,000,vyumba vya kulala
10,gym kubwa,bwawa la kuogelea,movie theater yenye screen ya inch 160 na
vitu vingine.
Justin Bieber ameshahama kwenye nyumba aliyokuwa amepanga na kuhamia...
Posted by kifesi |
Baada ya gazeti la udaku(AMANI)kuandika tuhuma kuwa Diamond anafanya biashara ya madawa ya kulevya
leo kupitia Bongo 5 meneja wa Diamond,Babu tale amekanusha
Tunalipwa milioni 20 show moja, tunalipwa
dola elfu 25,000 show moja, hii ni zaidi ya
madawa ya kulevya,” amesema Tale.
“We get more money from music, sio
kwenye madawa ya kulevya, hatufanyi hizo
biashara na kama wanahisi sisi tunafanya
tunawaruhusu watufanyie investigation hata
kwa...
Posted by kifesi |

THE FIRST RED CARPET MAGAZINE RELEASE PARTY!!!!!!!!
In honor of the limited edition Betty Fashion No. 1, we are hosting an
exclusive Magazine release party to celebrate the months of hard work
that went into producing our first printed magazine on September 6, 2014
at 9 pm @ Cristal Restaurant and lounge. There will be a fashion show
by top designers LIC Fasion (America), Sifa Love( Congo), KEWTU
Fashion (Tanzania) with Ethiopian and American...
HII NDIYO PICHA YA DIAMOND ILIYOMFANYA MENEJA WA TREY SONGS NA MARIA CAREY AMWAMBIE DIAMOND AMTAFUTE
Posted by kifesi |
KELVIN LILES NI MDAU WA MZIKI ANAEHESHIMIKA SANA DUNIANI,AKIWA AMESIMAMIA WANMZIKI WENGI WAKUBWA MAREKANI,AKIWEMO TREY SONGS,DUPRI,MARIA CAREY NA WENGINEO,KMA UTAKUMBUKA DIAMOND AKIWA MAREKANI ALIWAHI KUTANA NAE NA KUFANYA MAZUNGUMZO SASA ..DIAMOND ALIPOST PICHA AKIWA AMEZUNGUKWA NA UMATI MKUBWA WA WATU,NA MENEJA HUYO AKACOMENT AKIANDIKA NICE SHOT,HIT ME WHEN U GET CHANCE
...
Subscribe to:
Posts (Atom)