Tuzo kubwa za music duaniani BET zimefanyika jana ,na mwakilishi pekee wa Tanzania na Afrika mashariki,Diamond platnumz kwa bahati mbaya hakuweza kushinda,japo ni hatua kubwa sana amepiga kwa music wake na Tanzania kwa ujumla,kajitangaza kimataifa,katengeneza connections ,kakutana na wasanii wakubwa dunaiani akiwemo Nelly ni faida si kwake tu,bali ni kwa mziki wa Tanzania kwani sasa ameitambulisha Tanzania kimataifa
Diamond akiwa na Nelly
pamoja na hayo cha kushangaza kidogo ni ishu ya asilimiankubwa ya wanamziki kutoonesha sapoti japo kumtia moyo kabala ya tuzo ama hata kumpongeza kwa hatua aliyopiga,pengine si lazima kufanya hivyo lakini swala la kuzingatia ni faida aliyoizalisha