Rapper Busta Rhymes ameanguka akiwa jukwani kwenye show ya muziki
mjini New York. Busta alikuwa msanii aliyealikwa kwenye show hio
iliyofanyika Webster Hall alikuwa ameinama kusalimia mashabiki na ghafla
akapoteza balansi na kuangukia watu, alivyoinuka alikuwa na damu
kichwani na usoni huku jeraha likionekana kuhitaji kushonwa.
Baada ya dakika checha alirudi jukwanii na kuendelea na show.
...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Jumamosi
Ya Nov 29 2014 Watanzania na wapenzi wa muziki wa bongo fleva
walifuatilia kwa karibu sana tuzo za Video za Channel O zilizofanyika
Johannesburg South Africa. Mtanzania mwenzetu Diamond Platnumz alikuwa
akiwania tuzo nne kwenye vipengele tofauti.
Diamond Platnumz amefanikiwa kushinda tuzo tatu kati ya 4alizokuwa anawania. Tuzo alizoshinda ni Most Gifted EastAfrica, Most Gifted Afro Pop na Most Gifted Newcomer.
Hizi ni picha...
Posted by kifesi |
Habari ya Tanzania kwa sasa ni ushindi wa Diamond kwenye tuzo kubwa za channel0,ambapo ameshinda tuzo 3,mmoja ya waliompongeza ni ex wake,Wema sepetu kupitia instagram alimpongeza na kumalizia kwa kumuita kaka badala ya baby kama tulivyozoea,kwa sasa nafasi yake imechukuliwa na mwanandada ZARI Bossy lady wa Uganda ambae waliongozana wote kwenye tuzo...
Posted by kifesi |
.
Diamond Platnumz ndio alikua msanii pekee wa Tanzania aliekua
akiwania tuzo za Channel 0 2014 zilizotolewa November 29 usiku hapa
Johannesburg South Africa ambako alishinda tuzo tatu kati ya nne
alizokua anawania.
Unataka kuona jinsi ilivyokua kwenye red carpet kabla ya tuzo
kutolewa? Diamond alivyopita na Watanzania wengine? endelea kutazama
hizi picha hapa chini.
.
.
.
.
.
.
.
Fally Ipupa
.
.
.
.
.
.
.
.
mwimbaji...
Subscribe to:
Posts (Atom)